LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 19, 2012

TAWI LA OFISI NDOGO YA MAKAO MAKUU YA CCM, LUMUMBA WAPATA VIONGOZI WAPYA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) tawi la Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Dar es Salaam, wamefanya uchaguzi mkuu wa tawi hilo na kupata viongozi wapya.


Wafuatao ni waliochaguliwa katika nafasi mbalimbali
Mwenyekiti:
Innocent Anthony

 Halmashauri Kuu Wazazi:
Benedith Mugisha, Hamisi Kilindo

Halmashauri Kuu UVCCM:
Neema Mwangomo
Samra Yusuph
Sabrina  Hading'oka
Samira Kiango

Halmashauri Kuu UWT:
Angela Akilimali
Lightness Shauri
Jasmine Kihele
Amina Chanzi
Jane Mafinga

Wajumbe Mkutano Mkuu wa Kata:
Albert Nchimbi
Lucy Ogutu
Priscilla Mataula
Suleiman Seif
Sheila Luksas

Ujumbe wa Mkutano Mkuu Wilaya: 
Mary Nchimbi

1 comment:

  1. Tufanye maamuzi sahihi,wenezi wafanye kazi zao ipasavyo maana tunamsikia nape tu huku chini wako kimya,mikutano haifanyiki tunasikia wapinzani tu.

    ReplyDelete

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages