Mwenyekiti wa CCM, Dk. Rais Jakaya Kikwete akiwasili ukumbini, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM. Wengine ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa, Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Amani Abeid Karume na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein. Kushoto kabisa ni, Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiingia. (Picha zote na Bashir Nkoromo)
Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete na viongozi wenzake wakiwa wameketi meza kuu tayari kuanza kikao
Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete akifungua kikao hicho
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akitoa maelezo ya utangulizi mwanzoni mwa kikao
Kikao kikaendelea
Kabla ya kikao kuanza wajumbe mbalimbali walipata fursa ya kubadilishana mawazo: Katibu Mkuu mstaafu Mzee Yussuf Makamba akiteta jambo na Adam Malimai.
Wajumbe wa Sekretarieti na viongozi wa ngazi ya juu katika kikao hicho wakisubiri kabla ya kikao kuanza
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akijadiliana jambo na Wazee Kingunge Ngombale Mwiru na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya CCM Peter Kisumo
Shamsha Mwangunga akijadili kwa makini jambo na Aisha Kigoda
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) John Chiligati na Andrew Chenge wakibadilishana mawazo
Wajumbe wakaiwa kikaoni
Wajumbe wakiwa kikaoni
Chiligati na Waziri Emmanuel Nchimbi wakisalimiana ukumbini
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samwel Sitta akisalimia wajumbe ukumbini
Wajumbe wa NEC wakisalimiana nje ya ukumbi. Kushoto ni Asha Baraka, Meya wa Ilala Jerry Silaa na Madabiba
Katibu Mkuu wa UVCCM, Martin Shigella akizungumza nje ya ukumbi na William Kusila na Waziri Maghembe
Waziri Shamsi Vuai Nahodha akisalimiana na Waziri Mstaafu, Profesa Mwakyusa
Spika wa Baraza la Wawakilishi Amer Pandu Kificho akisalimiana na Sumaye ukumbini
Harakati za kuingia ukumbini mwanzoni kabisa zilikuwa hivi kama anavyoonekana mzee Kingunge.
Your Ad Spot
May 13, 2012
Home
Unlabelled
KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) CCM CHAFANYIKA LEO DODOMA
KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) CCM CHAFANYIKA LEO DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot



















well done ccm party,for being so creative by establishing ccm blog,the idea has come at the right time,when the party needs the very modern way of communication like that in order to get the new ideas from its members without biasness for the need of re-shaping the party,according to the needs of times.
ReplyDeleteRgds
Paul mahondo,
Royal member of ccm party.