LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 17, 2022

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU CHONGOLO KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI, LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM, KESHO

Na Bashir Nkoromo, CCM Blog
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinnduzi (CCM) Ndugu daniel Chongolo kesho, Ijumaa, Machi 18, 2022, atazungumza na Waandishi wa habari katika Mkutano wake na Waandishi hao wa habari utakaofanyika kuanzia saa 4 asubuhi katika Ukumbi uliopo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.

Taarifa iliyotolewa jioni hii na Makao Makuu ya CCM, imesema mkutano huo pia utarushwa mubashara kupitia Televisheni ya Channel ten na mitandao mingine kadhaa ya Kijamii.


1 comment:

  1. Asante sana kwa kuzidi kutujari wananchi, tunaomba mzidi kutupataarifa nzuri za chama ILI tuzidi kufaidi kuwa wanachama wa CCM

    ReplyDelete

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages