Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima za Mwisho katika jeneza lenye
Mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia
leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho
Buzirayombo Chato mkoani Geita.
May 17, 2020
RAIS MAGUFULI AHANI MSIBA WA DADAKE WILAYANI CHATO
Tags
featured#
KIJAMII#
Share This

About Richard Mwaikenda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇