Mar 3, 2020

YANGA KIDEDEA UWANJA WA TAIFA KWA KUICHAPA MBAO FC 2-0

  Yanga imefanikiwa kunyakua pointi tatu baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Magoli ya Yanga yalifungwa na David Molinga dakika ya 28 kwa mkwaju wa penati na jingine likifungwa na Patrick Sibomana dakika ya 82.

FT: Yanga SC 2-0 Mbao FC.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages