Mar 8, 2020

WAZIRI PROF. PALAMAGAMBA KABUDI AKUTANA NA KATIBU WA SIASA NA UENEZI WA TAWI LA CCM LA DMV, WASHINGTON DC SALMA MOSHI NCHINI MAREKANI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akisalimiana na Katibu wa Siasa na Uenezi wa Tawi la Chama Cha Mapinduzi (CCM) la DMV Washington DC, Ndugu  Salma Moshi walipokutana nchini Marekani, jana.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages