Rais Dk. John Magufuli akiwa kwenye miongoni mwa mawe yaliypo ndani ya Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, alipoamua kuzuru maeneo yenye mawe hayo, leo. Nyingine ni picha tofauti tofauti akiwa kwenye maeneo hayo ya mawe. (Picha zote na Ikulu
Mar 23, 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hakika mawe hayo ni kivutio kikubwa kwa eneo hilo. Inanikumbusha huko Mwitongo, Butiama kwa Baba wa Taifa hili. Pia kuna mawe na bonge la msitu......Mzee wetu alikuwa anapenda natural vegetation na maliasili. Bila shaka, mawe hayo yatakuwa kuvutio kwa watakaotembelea Ikulu;hasa wageni kutoka sehemu zisizo na mawe. Hofu yangu, nyoka jamani!!
ReplyDelete