Mbunge wa Jimbo la Ole, Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kwa tiketi ya CUF Juma Hamad Omari (Pichani), amejivua nafasi zote ndani ya chama cha CUF na kuomba kujiunga na CCM
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Chama cha Mapinduzi-CCM, Mbunge huyo akiambatana na Wanachama wa CUF na ACT 564 amepokelewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) anayesimamia Idara ya Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇