LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 23, 2020

CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) CHATOA WITO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA


 Rais wa Chama cha Wauguzi na Wakunga Tanzania  (TANNA) anatoa wito kwa Wauguzi na Wakunga wote kuikinga jamii zidi ya maambukizi ya COVID -19 Kupitia elimu ya afya, kuhudumia kwa weledi wagonjwa wa corona ikizingatiwa kuwa wauguzi wananafasi muhimu sana katika kutoa huduma ya afya

1 comment:

  1. Kweli kabisa Kama wauguzi na wakunga inafahamika sisi ndiyo wa kwanza Hadi wa mwisho katk kumhudumia mgonjwa hivyo Basi hatuna budi kuendeleza juhudi zetu za kutoa huduma iliyo Bora kwa jamii

    ReplyDelete

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages