AKAMATWA NA POLISI AKIDAIWA KUJIFANYA OFISA WA USALAMA WA TAIFA

Habari kutoka Mkoa wa Arusha zinasema Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia Mwenyekiti wa UVCCM  Sabaya ambae pia ni Diwani kwa tuhuma za kughushi na kujifanya mtumishi wa Idara ya Usalama na kutapeli watu mbalimbali. Hii ni mara ya pili kwa Kiongozi huyo kukamatwa akihusishwa na tukio hilo hilo