13 WAUAWA KIBITI KWA TUHUMA ZA UHALIFU


 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,  IGP Simon Sirro akielezea baadhi ya vitu mbalimbali vilivyokuwa vikitumiwa nawahalifu  13 waliouawa katika eneo la Tangibovu, Kijijicha Miwaleni Kata yaMchukwi, Tarafa ya Kibiti ambapo jumla ya silaha 8 aina ya SMG, risasi  158, pikipik i2, pamoja na begi la nguo vilivyokuwa vikitumiwa na wahalifu hao. Kushoto ni Mkurugenzi wa Upeleleziwa Makosa ya jinai (CP) Robert Boaz