LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 2, 2017

RAIS DKT.SHEIN ZIARANI PEMBA,AZUNGUMZA NA WATENDAJI MBALI MBALI WA SERIKALI

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa kiwanda cha Makonyo chake chake Pemba leo kuzungumza na Watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi  wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,akiwa katika ziara maalum ya kimaendeleo,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa kiwanda cha Makonyo chake chake Pemba leo kuzungumza na Watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi  wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,akiwa katika ziara maalum ya kimaendeleo,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.
 Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi waliojumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ziara maalum Kisiwani Pemba wakiwa katika ukumbi wa kiwanda cha makonyo chake chake Pemba katika mkutano na  Watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi  wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,katika ziara maalum ya kimaendeleo,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.
 Kaimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ,pia Waziri wa Fedha na Mipango Mhe,Khalid Salum Mohamed alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi  wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,katika ziara maalum ya kimaendeleo,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi mbali mbali  katika   ukumbi wa kiwanda cha Makonyo chake chake Pemba leo na Watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi  wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,akiwa katika ziara maalum ya kimaendeleo,(kushoto)Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe,Mwanajuma Majid Abdalla,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.
 Baadhi ya Wakuu wa Wilaya za Pemba (kulia) na Afisa wadhamini wa Wizara mbali mbali kisiwani Pemba wakiwa katika mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza na Watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi  wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,akiwa katika ziara maalum ya kimaendeleo,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi mbali mbali katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Chake chake Pemba leona Watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi  wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,akiwa katika ziara maalum ya kimaendeleo,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.
 Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe,Omar Khamis Othman alipokuwa akielezea changamoto mbali mbali zilizokuwemo katika Mkoa wake wakati wa Mkutano wa Viongozi mbali mbali  wa  Watendaji  wa Serikali ya Mapinduzi  wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mwenyekiti wa Mkutano huo iliofanyika leo katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Chake chake Pemba,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.   

 Mkuu wa Wilaya ya  Micheweni Pemba Mhe,Abeid Juma Ali alipokuwa akichangia katika Mkutano wa Viongozi mbali mbali  wa  Watendaji  wa Serikali ya Mapinduzi  wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mwenyekiti wa Mkutano huo iliofanyika leo katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Chake chake Pemba,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.   

Mkuu wa Wilaya ya Chake chake Mhe,Salama Mbarouk Khatib alipkuwa akizungumzia migogoro ya Ardhi iliyopo katika Wilaya yake katika katika Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza na Viongozi mbali mbali  na  Watendaji  wa Serikali ya Mapinduzi  wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini, Mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Chake chake Pemba,(Picha na Ikulu) 02/04/2017.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages