Saturday, April 1, 2017

RAIS DK. MAGUFULI AWAAPISHA LEO WAJUMBE WA KAMATI MAALUM YA UCHUNGUZI WA UDONGO WA MADINI


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum ya kuchunguza kiwango cha aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga wenye madini ulio ndani ya makontena yaliyozuiliwa na Serikali sehemu mbalimbali hapa nchini mara baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.
 .Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum ya kuchunguza kiwango cha aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga wenye madini ulio ndani ya makontena yaliyozuiliwa na Serikali sehemu mbalimbali hapa nchini mara baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Profesa Abdulkarim Hamis Mruma aliyekuwa akitoa neno la Shukrani mara baada ya wajumbe wote kuapa.
 Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Uchunguzi   Profesa Abdulkarim Hamis Mruma akimshukuru Rais Dkt. John Magufuli mara baada ya kuzungumza kwa niaba ya wanakamati wenzake.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya kuchunguza kiwango cha aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga wenye madini ulio ndani ya makontena yaliyozuiliwa na Serikali sehemu mbalimbali hapa nchini Profesa Abdulkarim Hamis Mruma Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha mmoja wa wajumbe wa Kamati hiyo Profesa Justinian Rwezaura Ikungula Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha mmoja wa wajumbe wa Kamati hiyo Profesa Joseph Buchweishaija Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA IKULU 
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.