LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 15, 2016

VIAJANA WAMEREMETA KATIKA HARUSI

Bwana harusi Louis Munishi akipata picha ya kumbukumbu na mkewe Bi. Inviolata ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Bwana harusi Louis Munishi akiwa na mkewe Inviolata ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es SalaamBwana harusi Louis Munishi akipata picha ya kumbukumbu na mkewe Bi. Inviolata ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Bwana harusi Louis Munishi akiwa katika pozi na mkewe,  Inviolata ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es SalaamBaba mzazi wa Bwana harusi Louis Munishi akiwapongeza maharusi kwa hatua yao ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Mungu awape maisha marefu na yenye furaha maharusi.Baba mzazi wa Bwana harusi Louis Munishi akiwapongeza maharusi kwa hatua yao ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Mungu awape maisha marefu na yenye furaha maharusi..// KWA PICHA ZAIDI ZA KUMBUKUMBU YA HARUSI HII///BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages