RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA KENYA HAPA TANZANIA, LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Kenya hapa Tanzania, Chirau Ali Makwere (kushoto), alipofika Ikulu Mjini Unguja, leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Kenya hapa Tanzania, Chirau Ali Makwere (kushoto), alipofika Ikulu Mjini Unguja, leo. (Picha na Ikulu, Zanzibar)