Sunday, August 21, 2016

MREMBO MISS MWANZA APATIKANA, NI MARY PETERUsiku wa Agost 19,2016 kuamkia Jumamosi Agost 20,2016, kulikuwa na mtifuano mkali wa kumtafuta mlimbwende wa taji la MISS MWANZA 2016 ambapo warembo 16 kutoka wilaya mbalimbali mkoani Mwanza walijitosa kusaka taji hilo.

Kinyang'anyiro cha Miss Mwanza 2016, kiliandaliwa na Kampuni ya "Big D Entertainment" na baada ya kinyang'anyiro hicho, utafuatia mtifuano wa MISS LAKE ZONE 2016 utakaofanyika Septemba 10, 2016 ambapo washiriki wa Miss Mwanza 2016, waliongia nafasi tano bora, wamejinyakulia pia tiketi ya kushiriki moja kwa moja kwenye shindano hilo. Pichani ni Mary Peter akiwa na Mshindi wa pili Victoria Patrick (kushoto) na Mshindi wa tatu Winnie Shayo (kulia) baada ya kutwaataji la Miss Mwanza, katikashindano hilo. PICHA ZAIDI>>>GONGA HAPA
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.