OLE SENDEKA ANOGESHA KARAMU YA UZINDUZI WA JENGO JIPYA KINONDONI JIJINI DAR ES ASALAAM

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Samsa Real Estate Abdulfatah Salim, akimkaribisha Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka katika karamu ya uzinduzi wa jengo la kisasa la kupangisha lililojengwa kampuni hiyo katika eneo la Kinondoni jijini Dar es Salaam, leo. PICHA KEMKEM ZA KARAMU HIYO>BOFYA HAPA