Saturday, April 2, 2016

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM (BARA) LUHWAVI ATINGA WILAYANI MAFINGA LEO, AZUNGUMZA NA MAKATIBU WA MASHINA NA KATA ZOTE WILAYANI HUMO

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi akilakiwa na Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Iringa, Elisha Mwampashi ambaye ni Katibu wa CCM wilaya ya Iringa Mjini, alipowasili kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Mufindi katika mji mdogo wa Mafinga leo April 2, 2016, akiwa katika ziara ya kikazi, kuzungumza na watumishi wa Chama ili kusikiliza changamoto na kero zinazowakabili. Kulia ni Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi Jimson Mhagama.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Mufindi, Yohanes Kaguo, alipowasili kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Mufindi katika mji mdogo wa Mafinga leo April 2, 2016, akiwa katika ziara ya kikazi, kuzungumza na watumishi wa Chama ili kusikiliza changamoto na kero zinazowakabili. 
Katibu wa CCM wilaya ya Mufindi Jimson Mhagama akisoma taarifa ya wilaya hiyo kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi (kulia). katikati ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mufindi Yohanes Kaguo
Kaim Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Elishe Mwampashe ambaye pia ni Katibu wa CCM wilaya ya Iringa mjini akisalimia alipotambulisha katika kikao cha ndani baina ya viongozi wa wilaya ya Mufindi na wa mkoa wa Iringa.
Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Mufindi, Yohanes Kaguo akimkaribusha Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi (wapili kushoto), kuzungumza na viongozi waandamizi wa CCM wilaya ya Mufindi na mkoa wa Iringa, katika Ofisi ya CCM wilaya ya Mufindi mjini Mafinga leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi akizungumza na viongozi waandamizi wa CCM katika wilaya ya Mafinga na mkoa wa Iringa, kabla ya kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo, Mafinga  mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akizungumza na viongozi waandamizi wa CCM wilaya ya Mufindi na mkoa wa Iringa, kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Mufindi mjini Mafinga leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mufindi Yohanes Kaguo na kulia ni Kaim Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Elishe Mwampashe
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akisisitiza jambo alipozungumza na viongozi waandamizi wa CCM wilaya ya Mufindi na mkoa wa Iringa, kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Mufindi mjini Mafinga leo
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akisindikizwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mufindi, Yohanes Kaguo, wakati akitoka katika Ofisi ya CCM wilaya ya Mufindi kwenda ukumbini kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akisindikizwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mufindi, Yohanes Kaguo, wakati akitoka katika Ofisi ya CCM wilaya ya Mufindi kwenda ukumbini kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akisindikizwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mufindi, Yohanes Kaguo, kwenda ukumbini kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akiingia ukumbini, kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi baada ya kuingia ukumbini, kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016.
Wajumbe wakimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi wakati akiingia ukumbini, kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Iringa,leo Aprili 2, 2016
Makatibu wa Mashina na Kata kutoka wilaya ya Mufindi wakiwa tayari kumsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara, Rajab Luhwavi.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wilaya ya Mufindi Malselina Mkini akijitambulisha wakati wa kikao hicho.
Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Iringa, Elisha Mwampashi ambaye ni Katibu wa CCM wilaya ya Iringa Mjini, akisalimia wajumbe, wakati wa kikao hicho
Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Mufindi, Yohanes Kaguo akimkaribusha Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi(katikati), kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM wilaya hiyo mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi akizungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016. 
Mshiriki akinukuu kwa majini, wakati Naibu Kataibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi alipozungumza na Makatibu wa CCM wa matawi na kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Iringa leo, Aprili 2, 2016. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.