JK NCHINI CHINA      Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais Mstaafu Mhe Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu Maalum ya watu 7 inayoongoza Chama Cha CPC na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China katika Ofisi za Makao Makuu ya CPC zilizopo Grand Hall jijini Beijing, China.
   Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika moja ya vikao vyake akiwa ziarani China.
       Wajumbe walioongozana na Mkiti wa CCM wakiwa ktk picha ya Pamoja, Kutoka kulia Mhe Prof Mbarawa, Mhe Dkt Kamani, Mhe Salma Kikwete, Balozi Shimbo, Mhe Jakaya Kikwete, Mhe Zakia Meghj, Mhe Maua Daftar, Mhe Dkt Mgana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi.

0 comments:

Post a Comment

Mdau, Uwanja huu ni wako, Toa maoni yako yasaidie kujua wewe unafikiri nini kifanyike kuboresha zaidi maisha ya Watanzania. Maoni yako yasilenge kuchochea mtafaruku katika jamii, kisiasa, kidini, kikabila au kijinsia. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.