Thursday, January 14, 2016

MAJLIWA AFUNGUA MKUTANO WA MIRADI YA UBIA KATIKA UJENZI WA MIUNDOMBINU KATI YA JAPAN NA TANZANIA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa miradi ya ubia katika ujenzi  wa Miundombinu kati ya Japan na Tanzania kwenye hoteli ya Hyatt Regency- Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Januari 14, 2016. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi , Miundombinu, Uchukuzi, na Utalii wa Japan, Bw. Takatoshi Nishiwaki baada ya kufungua  mkutano wa miradi ya ubia katika ujenzi  wa Miundombinu kati ya Japan na Tanzania kwenye hoteli ya Hyatt Regency- Kilimanjaro jijini Dar es salaam Januari 14,2016. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujwnzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani.(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.