Monday, December 21, 2015

MAJALIWA: KUBADILIKA LINDI INAWEZEKANA

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akihutubia wakazi wa Lindi mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja Ilulu ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa ataendelea kuwa pamoja nao na kushirikiana katika kuleta maendeleo katika mkoa huo.
 Mbunge wa Jimbo la Lindi mjini Ndugu Hassan Suleiman Kaunje akihutubia wakazi wa mji huo kwenye uwanja wa Ilulu kwenye mapokezi ya Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia wakazi wa mjini kwenye mapokezi ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa aliyewasili mkoani Lindi kwa ziara ya siku 3.
  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisalimia wakazi wa Nandagala waliojitokeza kwa wingi kumpokea na kumsikiliza.
  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Mtama Mhe. Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Ruangwa.
 Waziri wa zamani wa  Mambo ya Nje Mhe. Bernard Membe akihutubia wakazi wa Ruangwa waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
 Waziri wa Michezo, Utamaduni, Sanaa na Michezo akiteta jambo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Ruangwa.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.