NAPE NNAUYE AWA MMOJA WA WABUNGE WALIOJISAJILI MAPEMA BUNGENI

 Mbunge Mteule wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye akisajiliwa na maofisa wa Bunge, Bungeni mjini Dodoma .
Mbunge Mteule wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye akipongezana na Mbunge Mteule wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Peter Serukamba walipokutana Bungeni mjini Dodoma.