Wednesday, October 14, 2015

MWIGULU NCHEMBA NDANI YA MARA,AENDELEA KUUNGWA MKONO NA WATANZANIA


Baadhi ya mamia ya Wananchi wa Silali wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi.Mwigulu akiondoka eneo la mkutano la Silali Mjini.Mwigulu Nchemba akiwasili Rolya."Umoja ni Ushindi"MwanaCCM kwa raha zakeee!!!!"Nimezunguka Nchi hii kila Mkoa,Magufuli anakwenda kushinda kwa sababu ndiye mgombea pekee ambaye hadi sasa anaujasiri wa kusimamia aache ufisadi"Mwigulu.Sehemu ya Mamia ya Wananchi wa Rolya wakionesha kuunga hatua za Chama cha Mapinduzi kuachana na kuteua Mafisadi kuwania Urais.Magufuli ni zao la watanzania wa kawaida sana,hivyo anazijua shida za Watanzania.Mwigulu akiagana na Wananchi wa Rolya maa baada ya mkutano wake wa kampeni.Mbali na Kumuombea kura Magufuli,Mwigulu Nchemba alitoa angalizo kwa Vijana na watanzania wote wanaodhani Urais unaweza kupatikana kwa vurugu.Ameoagiza Wananchi wafanye uchaguzi wa Amani na Utulivu.Mwigulu Nchemba akiwasisitiza Wananchi wa Musoma kujitokeza kupiga kura kwa Amani na Utulivu.Wanamusoma wakishangilia maandalizi ya kulejesha Jimbo la Musoma kwa Chama cha Mapinduzi.Mwigulu Nchemba akiagana na Wananchi wa Musoma Mjini jioni ya leo mara baada ya Mkutano wa hadhara wa kampeni wa kumuombea kura Rais Mtarajiwa j.Pombe Magufuli,Kuwaombea kura Madiwani na Mbunge Ndg.Vedasto
Mwigulu akimnadi Mgombea Ubunge viwanja vya Silali hii leo.
Picha na Sanga Festo Jr.
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.