Friday, October 16, 2015

MKUTANO WA KINANA MBEYA MJINI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mbeya mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaombea kura wagombea wa nafasi za Urais , Ubunge na Udiwani, kwenye viwanja vya shule ya Msingi Mwenge.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mbeya mjini ambapo aliwaambia Magufuli ni mchapakazi na yupo tayari kuleta mabadiliko ya kimaendeleo Tanzania.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mbeya mjini ambapo aliwataka vijana kutohadaika na kudanganywa juu ya mabadiliko yanayodaiwa na upinzani na kusema kuwa hakuna njia ya mkato katika maisha ila ni kufanya kazi kwa bidii,aliwataka kuchagua viongozi kwa sifa za utendaji na si kwa misingi ya dini, ukabila ama rangi.Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.