LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 31, 2015

MAGUFULI AWEKA HISTORIA MAJI MAJI SONGEA

  • Maelfu  wahudhuria mkutano wake wa Kampeni
  • Asema Serikali yake haitoruhusu mkulimwa kukosa
  • Ataboresha maslahi ya walimu
  • Asisitiza Elimu bure kutoka kidato cha kwanza mpaka cha nne


 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Maji Maji tayari kuhutubia,kuomba kura za Urais, Ubunge na Madiwani kwa wananchi wa Songea mjini.
  Vijana wakifurahia ujio wa Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli mjini Songea.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa Songea mjini waliofurika kwenye uwanja wa Maji Majikumsikiliza wakati wa kujinadi kwenye mkutano wa Kampeni za CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa mji wa Songea ambapo alisema katika serikali yake wakulima hawatokopwa mazao yao, mbolea zitapatikana kwa wakati, barabara zitaboreshwa ,elimu bure mpaka kidato cha nne, kuongeza maslahi ya walimu pamoja na kuboresha huduma za afya.

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCm Dk. Emmanuel Nchimbi akihutubia wakazi wa Songea mjini ambapo aliwataka wananchi hao kumpa kura nyingi Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli kwenye uchaguzi utakaofanyika Oktoba 25.
 Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndugu William Lukuvi akihutubia wakazi wa Songea mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Maji Maji.
 Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya Watu wenye ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) Amon Anastaz Mpanju akihutubia wakazi wa Songea mjini kwenye mkutano wa Kampeni za CCM ambao Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli alihutubia .
 Injinia Stella Manyanya akiwa ameketi pamoja na Wazee wa Mji wa Songea wakati wa mkutano wa kampeni za CCM kwenye uwanja wa Maji Maji.
 Mwigulu Nchemba akihutubia wakazi wa Songea mjini na kutaka wasihadahike na watu wenye uroho wa madara .
 Jamaa kapiga Magufuli staili kwenye mkutano wa kampeni za CCM uwanja wa Maji Maji.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Peramiho mkoani Ruvuma.
 Wakazi wa Peramiho wakifurahia hotuba ya Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli
 Umati wa wakazi wa Peramiho wakisikiliza hotuba ya Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuliwakati wa mkutano wa kampeni.
 Haya ndio mafiga matatu ya Peramiho.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea ubunge wa Jimbo la Mbinga Ndugu Sixtus Mapunda kitabu cha Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mbinga mjini.
 Mgombea ubunge wa Jimbo la Mbinga mjini Sixtus Mapunda akihutubia mbele ya Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufulikwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Mbinga.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mbinga.
 Wanachama na Viongozi wa CCM wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni Mbinga.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza wakati
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wakazi wa Mbinga.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kigonsera wakati akiwa njiani kuelekea Mbinga mjini.

 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Kapteni John Komba ,Lituhi.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuliakisali mbele ya jkaburi la Kapteni John Komba.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa Lituhi kwenye mkutano wa kampeni ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa serikali itajenga daraja kwenye mto Luhuhu.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi Mgombea ubunge wa jimbo la Nyasa Injinia Stella Manyanya kitabu cha Ilani ya Uchaguzi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCm uliofanyika Lituhi.
 Mwenyekiti pekee wa Kitongoji kutoka Chadema Ndugu Sixbert almaarufu kama Seaman akitangaza kujiunga na CCM kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufulialifanya kampeni zake.

 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Lituhi.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

10 comments:

  1. Tanzania ya leo ina wakazi wengi ambao wanamaisha tegemezi pamoja na kwamba wapo waliosoma, hivyo basi binafsi naomba mteule kiongozi huyu pamoja na viongozi kwa ujumla wasisitizie zaidi elimu ya kujitegemea badala ya elimu iliyopo sasa yaani elimu ya kuajiliwa tu badala ya kumuwezesha mtu kujiajili mwenyewe na hii ndiyo maana ya kujitegemea kwa mfano elimu ya kilimo na mifugo, ufundi stadi, biashara za ujasiliamali pamoja na kuboresha viwanda na mali madini zikiwemo mali asili zingine nchini, badala ya sera za kusema vijana wataajiliwa! kwa ajila zipi? kwani elimu ya EK ndiyo dili duniani pote mfano nchi za uchina n.k ninaamini kuwa mtu akizungumzia na kusimamia mambo kama haya ndiye atakuwa ameboresha maisha ya watanzania wote warika zote.
    Nimi Mohamed W. Bukombe Bulyanhulu-Kahama. +255762345361, barua pepe mohamedwilson.bukombe@gmail.com

    ReplyDelete
  2. Hi there! I know this is somewhat off topic but I was wondering
    if you knew where I could get a captcha plugin for my comment form?
    I'm using the same blog platform as yours and I'm having difficulty
    finding one? Thanks a lot!

    ReplyDelete
  3. I absolutely love your blog and find many of your post's
    to be precisely what I'm looking for. Do you offer guest writers to write content to suit your needs?
    I wouldn't mind publishing a post or elaborating on a number of the subjects you write regarding here.
    Again, awesome web log!

    ReplyDelete
  4. Informative article, just what I needed.

    ReplyDelete
  5. I wanted to thank you for this wonderful read!!
    I certainly enjoyed every little bit of it. I've got you saved as
    a favorite to check out new stuff you post…

    ReplyDelete
  6. Hi mu lindo post, parece que don bing me trajo directamente a
    la informaciĂłn que estaba queriendo, amo Tailandia y planeo regresar
    en breve, me sumo a leer las nuevaspublicaciones, gracias Good Job!!;)

    ReplyDelete
  7. This is my first time pay a quick visit at here and i am truly impressed to read all
    at single place.

    ReplyDelete
  8. Terrific article! That is the type of information that are supposed to be
    shared across the net. Shame on Google for no longer positioning this
    publish upper! Come on over and consult with my web site .
    Thank you =)

    ReplyDelete
  9. You actually make it seem so easy together with your presentation but I in finding this
    matter to be really one thing which I feel
    I would never understand. It kind of feels too complex and extremely wide for me.

    I am looking forward for your next publish, I will try to
    get the dangle of it!

    ReplyDelete
  10. Hi, I think your site might be having browser compatibility issues.
    When I look at your website in Ie, it looks
    fine but when opening in Internet Explorer, it has some overlapping.

    I just wanted to give you a quick heads up!
    Other then that, amazing blog!

    ReplyDelete

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages