Friday, April 3, 2015

KURA YA MAONI YAAHIRISHWA TANZANIA


 Tume ya Uchaguzi wa taifa la Tanzania, kukabiliwa na na msisitizo wa muda mrefu wa wananchi juu ya kuahirishwa kwa tarehe ya kufanyika kura ya maoni kuhusu katiba inayopendekzwa na tume hiyo kutoa msimamo kwamba tarehe haitobadilika, leo hii tume hiyo imetoa kauli tofauti. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi , Jaji Mstaafu Damian Lubuva ametangaza kuwa zoezi hilo la kura ya maoni limeahirishwa, jambo ambalo limezua hisia tofauti nchini.


MWEZI SEPTEMBA MWAKA 2014 NAPE ALIULIZA MASWALI YAFUATAYO.....

Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.