LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 24, 2014

RAIS DK.SHEIN ATOA VIFAA VYA MCHEZO WA RIADHA IKULU ZANZIBAR


 Viongozi wa Michezo wa Riadha katika Wilaya   kumi za Unguja na Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza nao leo katika hafla maalum ya kukabidhi vifaa vya riadha iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Vifaa vya Mchezo wa Riadha vikiwa katika utaratibu uliopangwa ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alivigawa kwa wawakilishi wa Mchezo huo katika Wilaya ya kumi za Unguja na  Pemba katika hatua zake za kuupa nguvu mchezo huo ikiwemo na michezo mbali mbali hafla ya kukabidhi vifaa hivi ilifanyika ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi vifaa vya Riadha Katibu wa  mchezo huo Wilaya ya Magharibi  Unguja Othman  Ali wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbali mbali vya Riadha katika Wilaya ya kumi za Unguja na Pemba leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikabidhi vifaa vya Riadha kwa Mwenyekiti wa mchezo huo Wilaya ya Kaskazini B Unguja Juma Hassan Ali wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbali mbali vya Riadha katika Wilaya ya kumi za Unguja na Pemba leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi vifaa vya Afisa Michezo Wilaya ya Kaskazini A pia mjumbe wa Riadha Taifa  Faida Salim Juma wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbali mbali vya Riadha katika Wilaya ya kumi za Unguja na Pemba leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Sherry Khamis akionesha baadhi ya Vifaa vya Riadha kwa Viongozi wa Mchezo huo walipofika Ikulu Mjini Unguja kuonana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)kwa mazungumzo na hatimae kuwakabidhi vifaa hivyo alivyovitoa katika kumarisha Mchezo huo hapa Zanzibar,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages