Friday, December 12, 2014

MWIGULU AWASAFISHA WAPINZANI KARATU
Mwigulu Nchemba akiwaisli viwanja vya Mkutano Karatu Mjini.Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa karatu Mjini mapema hii leo asubuhi majira ya saa tatu wakati akisisitiza kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa Kufanyika tar.14.12.2014.Mwigulu akimtambulisha Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa katibu wa CHADEMA Wilaya ya Karatu Ndugu.Raulenti Bonta.

Kadi na baadhi za Vifaa vya CHADEMA ambavyo vimerudishwa hii leo kwa mwigulu Nchemba baada ya Wananchama zaidi ya 17 kuhamia CCM Karatu Mjini.Ndugu Raulenti Bonta ambaye ameikacha CHADEMA na kuhamia CCM akiwapungua mkono Wananchi wa karatu.Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Karatu Mjini akivalia Vazi la Chama cha mapinduzi kuashiria kuwa yeye ni CCM Dam Dam.
Mkutano Ukiendelea Mwananchama Mpya aliyeikacha Chadema akisalimiana na Mh:mwigulu Nchemba.
Mwigulu akisisitiza kuwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni nguzo ya Kusimamia maendeleo ya Halmashauri zetu.Hivyo wachaguliwe viongozi wenye uwezo wa kusimamia maswala ya Umma.CCM OyeeeeMwigulu "CCM haipo tayari kuela Mafisadi,yeyote anayehujumu Nchi nilazima achukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wengine.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.