Friday, October 31, 2014

MTANGAZAJI NA MWANDISHI MAHIRI WA SIKU NYINGI NCHINI BEN KIKO AFARIKI DUNIA


BREAKINGNEWS!!!! Mwandishi Wa siku nyingi Ben Kiko amefariki Dunia usiku Wa kuamia Leo Muhimbili.Source RFA.

Ben Kiko atakumbukwa kwa mchango wake katika uandishi wa habari na utangazaji, atakumbukwa pia kwa kazi nzuri alizowahi kufanya ikiwa kuripoti vita ya Kagera,
  
 
 Ben Kiko (kushoto) akipokea  Cheti cha kuwa mteule katika tuzo ya umahiri wa maisha ya taaluma ya uandishi wa habari (Picha na Adam Mzee)

Ben Kiko aliwahi kuteuliwa kuwania tuzo pamoja na Edda Sanga, Phiri Karashani kuwania tuzo ya  waandishi mahiri waliofanikiwa nchini.
Tuzo zinazojulikana kama EJAT zinazotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT)


Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.