LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 23, 2014

KINANA AUNGURUMA HANDENI JIONI HII, MAELFU WAHUDHURIA MKUTANO WAKE WA HADHARA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi kwenye Uwanja wa Soko la zamani, wilayani Handeni mkoa wa Tanga, mwanzoni mwa ziara yake ya siku 11 katika mkoa huo, kukagua na kuhimiza utekelezaji ilani ya CCM. Picha na Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages