![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipewa saluti alipowasili kufungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam leo December 12, 2012 |
Dec 11, 2012
Home
Unlabelled
RAIS KIKWETE APOKEA MAJENGO MAPYA MATATU YA HUDUMA ZA MAMA NA MTOTO DAR ES SALAAM
RAIS KIKWETE APOKEA MAJENGO MAPYA MATATU YA HUDUMA ZA MAMA NA MTOTO DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hongera mheshimiwa Rais kwa ufunguzi wa majengo yenye vifaa vya kisasa! tunafurahi kuona serikali ikiendelea kuboresha huduma za afya japo changamoto bado zipo hasa maeneo ya vijijini, natumai serikali yako itazidi kuboresha huduma za afya nchi sambasamba na uboreshaji wa mazingira bora ya kufanyia kazi kwa wauguzi, madaktari n.k ili kuongeza ufanisi katika kazi zao.
ReplyDelete