Na Samson Chacha, Tarime.
Wakitoa Ufafanuzi Ofisini kwake hapo Septemba 10 mwaka huu Kuhusiana na Taarifa Walizodai za Uongo Zilizoandikwa na baadhi ya Vyombo vya habari Jumatatu Wiki hii likiwemo ( gazeti la Dira ) Viongozi hao wa Halmashauri Mwenyekiti Sagara na Mkurugenzi Mtendaji bw, Lumato na Mhandisi Kasim walisema kuwa " tumesikitishwa na taarifa zilizotolewa kwa Vyombo vya habari na Diwani wa Kata ya Turwa bw, Ndessi ya Kata nyingine ya Sabasaba, kuwa Halmashauri tumisha Mlipa Mkandarasai Gimunta Champion Traders tsh Milioni kati ya 30,000,000/= na Milini 50 ,000,000,/= za Ujenzi wa Barabara Mpya yenye Umbali wa KM 3 Kwa pande mbili zinazounganisha Vitongoji vya Msati na Romori na Kwamba Barabara hiyo imejengwa Chini ya Kiwango huku akijua kuwa taarifa alizotoa ni za Uongo ",
Bofya hapa...!
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇