LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 14, 2025

KAMATI YA BUNGE YA TAMISEMI YAZIPA KIBANO HALMASHAURI ZA MAJIJI


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Justine Nyamoga akielezea kuhusu yaliyojiri kwenye vikao vya kamati hiyo na baadhi ya wizara pamoja na majiji kuhusu utekelezaji wa maagizo ya Bunge Januari 14, 2025 bungeni Dodoma.

Baadhi ya watendaji wa Halmashauri za Majiji wakiwa katika kikao hicho.




Dk. Festo Ndugange (kushoto) akiwa katika kikao hicho.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge wakiwa katika kikao hicho.

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI 
BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages