LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 9, 2020

TAASISI YA HAK YA UTURUKI YAGAWA MBUZI WA KUFUGA 30 KWA KAYA 15 MKURANGA

Mwakilishi kutoka Tasisi ya HAK Tanzania, Shaban Mlongakweli akimkabidhi mbuzi wa wawil jike na dume Bi. Zahara Ally alipotembelea  walemavu mkuranga na kukabidhi kaya 15 mbuzi wawili wawili kwa kila Kaya lengo ni kutaka walemavu wajiendeleze na uchumi kwa kuzalisha mbuzi wao.


                                                                                                  Shaban Mlongakweli akikabidhi mbuzi wawili kwa Ally Mashamu.Anayeshuhudia kushoto ni Mwakilishi wa HAK kutoka nchini Uturuki, Samij Cavus. HAK imetoa msaada wa mbuzi  30 katika kaya 15 wilayani mkuranga, Pwani. PICHA NA ASHRACK MIRAJI

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages