LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 14, 2020

MKURUGENZI MTENDAJI MOI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA PILI WA TUGHE WA MWAKA 2020-2021

   Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt. Respicious Boniface akizungumza na wanachama wa TUGHE Tawi la MOI wakati akipokea changamoto na maoni mbalimbali kutoka kwa wanachama nakuweza kujadiliana namna ya kuzitatua.

Mwenyekiti Tawi la TUGHE MOI Privatus Masula akifafanua jambo kabla ya Ufunguzi wa Mkutano huo
Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt. Respicious Boniface (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti TUGHE Mkoa wa Dar es Salaam Mziwanda Chimwenge kabla ya Mkutano huo

Katibu TUGHE Tawi la MOI Mkubwa Suleiman akisoma risala ya Chama hicho wakati wa Mkutano Mkuu wa Pili wa Mwaka  uliofanyika Agosti 14, 2020. 









Bakari Msongamwanja akiuliza swali wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa TUGHE ulio fanyika Agosti 14, 2020 katika Ukumbi wa Taasisi MOI
Egn. Ben Mwalusamba akitoa hoja wakati wa Mkutano Mkuu wa Pili wa Mwaka Tawi la TUGHE MOI ulio fanyika Agosti 14, 2020 katika Ukumbi wa Taasisi hiyo

  Kaimu Katibu TUGHE Mkoa wa Dar es Salaam, Shadrack Mkodo (wa tatu kulia) wakati wa Mkutano Mkuu wa Pili wa Mwaka Tawi la TUGHE MOI ulio fanyika Agosti 14, 2020 katika Ukumbi wa Taasisi hiyo, kuanzia kulia ni Mwenyekiti TUGHE Mkoa wa Dar es Salaam Mziwanda Chimwenge, Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt. Respicious Boniface na kushoto ni Mwenyekiti Tawi la TUGHE MOI Privatus Masula

Mwajabu Ally akitoa ushauri kwa utawala kwa Taasisi ya MOI


Mwenyekiti TUGHE Mkoa wa Dar es Salaam Mziwanda Chimwege akizungumza jambo wakati wa Mkutano wa wanachama wa TUGHE Tawi la MOI juliofanyika Agosti 14, 2020.


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages