Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Kuzuwia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma leo Agosti 08,2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa Kitambaa kuzindua rasmi Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Kuzuwia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma leo Agosti 08,2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata Utepe kuzindua rasmi Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Kuzuwia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma leo Agosti 08,2020. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Kapten Geoge Mkuchika na Mkuu wa Taasisi ya kuzuwia na kupambana na Rushwa Nchini TAKUKURU Brigedia Generali John Mbungo baada ya kuzindua rasmi Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Kuzuwia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma leo Agosti 08,2020 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇