LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 14, 2020

MAJALIWA ASALIMIANA NA WANANCHI WA MTAMA AKIWA NJIANI KWENDA RUANGWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na wananchi wa Mtama waliojitokeza kumlaki barabarani wakiongozwa na Mbunge aliyemaliza muda wake, Nape Nnauye, Agosti 13, 2020.  Majaliwa alikuwa akitoka Dar es salaam kwenda Ruangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages