Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimsikiliza mjane wa Baba wa Taifa Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere Bi Maria Nyerere alipomtembelea nyumbani kwake Butiama mkoa wa Mara jana wakati akiwa katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi.Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiagana na mjane wa Baba wa Taifa Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere Bi Maria Nyerere alipomtembelea nyumbani kwake Butiama mkoa wa Mara jana wakati akiwa katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi.Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimkabidhi Hati ya Ardhi Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo cha Mwl Nyerere Profesa Agnes Mwakaje alipokuwa katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi mkoa wa Mara jana.Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiwa katika picha ya pamoja na wananchi wa Butiama mkoa wa Mara baada ya kuwakabidhi Hati ya Ardhi jana wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi mkoa wa Mara (PICHA ZOTE NA WIZARA YA ARDHI).
Your Ad Spot
Aug 8, 2020
MABULA AMTEMBELEA MJANE WA BABA WA TAIFA BUTIAMA
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇