Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kushoto) akishukuru baada ya kupokea msaada wa Mabati 216 na Mbao 333 kwa ajili ya shule tatu za awali, katika jimbo la Kikwajuni -Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar yaliyotolewa na Benki ya NMB. Kutoka kushoto kwake ni Mbunge wa jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yusuf Masauni, katikati ni Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi na kulia ni Maofisa wa Benki hiyo.
Jun 15, 2020
Home
Elimu
featured
NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI WA SHULE YA AWALI KWA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR
NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI WA SHULE YA AWALI KWA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR
Tags
Elimu#
featured#
Share This

About Richard Mwaikenda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇