Suala la madaktari kudai kuongezewa vifaa ili kuendelea kuimarisha mapambano dhidi ya CORONA ni muhimu kwa maslahi ya taifa,ikizingatiwa mataifa makubwa.yameathirika zaidi ikiwemo Italy,U.SA.Pia watanzania tuendelee kufuata maelekezo yaliyotolewa na serikali kuhusu kujinga na ugonjwa huo huku tukiendelea kumtanguliza Mungu mbele@Umoja wetu ndiyo ushindi wetu.

ReplyDelete