LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 17, 2019

WATU 39 WAFARIKI KWA MAFURIKO NA WENGINE MILIONI 6.8 WAATHIRIKA VIBAYA

Idadi ya vifo katika majimbo mawili ya Hindi ya Assam na Bihar kutokana na mafuriko yanayoendelea yamefika 39, na watu milioni 6.8 wameathiriwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha nchini humo.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages