LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 15, 2019

MFALME MSWATI ALAZIMISHA WAVULANA WALIOPEVUKA KUOA HARAKA TENA WANAWAKE WAWILI-WAWILI KUFUATIA IDADI YA WANAWAKE KUWA KUBWA MNO KULIKO WANAUME NCHINI MWAKE.

Mfalme wa Eswatini, Mswati wa III amewataka vijana wa nchini kwake waliofikia umri wa kuoa, waoe haraka na kusisitiza kuwa wanatakiwa waoe wake wawili au zaidi, kinyume na hapo atawatupa lupango/jela wote wasiotekeleza agizo hilo kuanzia Mwezi Juni, 2019.

Mswati wa III ana jumla ya wake 15 na watoto 25. Baba yake ambaye pia alikuwa mfalme wa nchi hiyo, alikuwa na wake 70 na watoto zaidi ya 150.

Mswati alitoa onyo kali kwa mwanaume au mwanamke atakayekiuka agizo hilo atahukumiwa kifungo cha maisha jela.

Eswatini ni nchi ya Afrika yenye idadi kubwa zaidi ya wanawake kuliko wanaume, hivyo wanawake wengi hukosa wanaume wa kuwaoa.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages