BREAKING NEWS

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, February 10, 2019

RAIS DK. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA DOMINIKA YA TANO YA MAKASIA KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Dk. John Magufuli akipokea Mkate wa Sakramenti Takatifu toka kwa  Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padri Dk. Alister Makubi  wakati wa  Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya tano ya Makasia katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es Salaam leo February 10, 2019
Rais Dk. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa amani na masista na waumini wakati wa  Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya tano ya Makasia katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo February 10, 2019
Rais Dk. John Magufuli akishiriki na waumini wengine katika Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya tano ya Makasia katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo February 10, 2019
Rais Dk. John Magufuli akiagana na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padri Dk. Alister Makubi baada ya kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya tano ya Makasia katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo February 10, 2019. Katikati ni mmoja wa viongozi wa kanisa hilo  Dk. Adelhelm James Meru.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Mdau, andikamaoni yako hapa yasaidie kujua wewe unafikiri nini kuhusu posti hii. Tafdhali, Maoni yako yasiwe ya uchochezi wa aina yoyote.. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages