LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 14, 2018

KONGAMANO LA JUMUIYA YA WAZAZI MKOA WA DAR ES SALAAM LA KUMBUKIZI YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE LAFANA, LEO

 Katibu was NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali mstaafu Ngemela Lubinga akikabidhi tuzo ya uongozi bora kwa Mwenyekiti was Jumuiya ya Wazazi Tanzania mkoa wa Dar es Salaam, Frank Kamugisha, wakati wa Kongamano la Kumbukizi ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, lililofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Jumuiya hiyo mkoa wa Dar es Salaam Lugano Mwafongo.
 Katibu was NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali mstaafu Ngemela Lubinga akikabidhi tuzo ya uongozi bora kwa  Katibu wa Jumuiya ya Wazazi  mkoa wa Dar es Salaam Lugano Mwafongo wakati wa Kongamano la Kumbukizi ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, lililofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Kushoto , Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania mkoa wa Dar es Salaam, kushoto ni Frank Kamugisha, 
 Katibu wa Jumuiya ya Wazazi  mkoa wa Dar es Salaam Lugano Mwafongo, akimshukuru Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali mstaafu Ngemela Lubinga kabla ya kukabidhiwa tuzo ya uongozi bora,  wakati wa Kongamano la Kumbukizi ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, lililofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Kushoto , Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania mkoa wa Dar es Salaam, kushoto ni Frank Kamugisha.













No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages