LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 5, 2018

WANAFUNZI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE LA TANZANIA MAONESHO YA NANENANE DODOMA

 Mmoja wa watoto waliotembelea banda la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma akinyanyua SIWA ya mfano (Alama maalum ya Bunge) baada ya kutembelea Banda hilo kwa ajili ya kupata elimu kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusu Bunge.

 Afisa kutoka Ofisi ya Bunge, Ndugu Partson Sobha akitoa elimu kwa umma kuhusiana na historia ya Bunge kwa wanafunzi waliokuja kutembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages