Thursday, August 9, 2018

RAIS MUSEVENI WA UGANDA ATUA NCHINI TANZANIA, LEO

Rais Dk. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili nchini leo kwa ajili ya ziara ya Siku moja.

 Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda baada ya kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili nchini leo kwa ajili ya ziara ya Siku moja.
 Rais Dk. John Pombe Magufuli akimtambulisha kwa viongozi baada ya kumpokea mgeni wake huyo Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili nchini leo kwa ajili ya ziara ya Sikh moja.
 Rais Dk. John Pombe Magufuli akimkaribisha sehemu ya mapumziko baada ya kumpokea mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili nchini leo kwa ajili ya ziara ya Sikh moja.
Rais Dk. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili nchini leo kwa ajili ya ziara ya Sikh moja.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

CCM Blog. Powered by Blogger.