Wednesday, August 1, 2018

UBALOZI WA KUWAIT NA MWEZI MWEKUNDU WA KUWAIT NA LIONS CLUB WATOA ZAWADI KWA WATOTO WENYE MATATIZO YA SARATANI KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Jasem Al-Najem (katikati) akizungumza jambo kabla ya kukabidhi msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo matunda kwa watoto wenye matatizo ya Saratani waliolazwa katika Hospitli ya Taifa Muhimbili, wa kwanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mashariki ya Kati na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Suleiman Sale na Watatu kushoto ni Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mwezi Mwekundu Dokt. Anwar Alhasawi  


Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Jasem Al-Najem (wa pili kushoto) na Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mwezi Mwekundu Dokt. Anwar Alhasawi kulia wakimkabidhi zawadi, Martha John mkazi wa Tegeta aliyelazwa na mtoto wake katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

CCM Blog. Powered by Blogger.