LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 29, 2018

RAIS WA ZIMBABWE EMMERSON MNANGAGWA ATEMBELEA CHUO CHA KILIMO NA MIFUGO CHA KAOLE BAGAMOYO MKOANI PWANI AMBACHO MIAKA YA 1960s ILIKUWA SHULE YA MAFUNZO YA UFUNDI YA WAPIGANIA UHURU WA CHAMA CHA FRELIMO

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa 
akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya 
Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Edmund Mndolwa mara baada 
ya kuwasili katika chuo cha Kilimo na Mifugo cha Kaole Bagamoyo 
mkoani Pwani. Rais huyo wa Zimbabwe alisoma Shuleni hapo 
mwaka 1963 pamoja na wapigani Uhuru wa Chama cha FRELIMO 
na ilijulikana kama Shule ya Mafunzo ya Ufundi ya wapigania 
Uhuru wa Chama cha FRELIMO.
B
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa 
akizungumza na wafanyakazi pamoja na wanafunzi wanaosoma 
katika Chuo cha Kilimo na Mifugo cha Kaole ambapo miaka ya 
nyuma alisoma hapo wakati huo ikijulikana kama Shule ya 
Mafunzo ya Ufundi ya wapigani Uhuru ya Chama cha FRELIMO.

E

G

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages