Thursday, March 1, 2018

KAIMU MKURUGENZI IDARA YA UKUZAJI WA MAADILI OFISI YA RAIS UTUMISHI AFARIKI DUNIA

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili-Ofisi ya Rais-Utumishi Lambert F. Chialo (Pichani) amefariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 01/03/2018.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma imesema Chialo alikua akipata huduma ya matibabu katika Hospitali ya Ocean Road, jijini Dar es Salaam. 


Imesema hadi kifo chake Lambert F. Chialo alikuwa akikaimu nafasi ya Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na kwamba taarifa zaidi kuhusu taratibu za msiba zitatolewa baadae.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

CCM Blog. Powered by Blogger.