MWENYEKITI WA CCM KATA YA KIVUKONI AKUTANA NA BALOZI WA INDIA HAPA NCHINI

Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kivukoni Sharik Choughule akiwa na Balozi wa India hapa nchini Balozi Sandeep Arya, baada ya kufanya mazungumzo kuhusu maendeleo ya Kata hiyo jana. Mazungumzo hayo yalifanyika kwenye ofisi za Ubalozi huo zilizopo katika Kata hiyo ya Kivukoni, Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mwenezi wa Kata hiyo Hassan Maloto